1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje?

Mnette Sudi1 Aprili 2021

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.

https://p.dw.com/p/3rTZs